![]() |
| Wildaid ni Shirika linalojihusisha na
uhifadhi wa wanyamapori, katika kampeni yao inayoendelea ambapo Wildaid
inashirikiana na serikali katika kutokomeza ujangili hasa wa Tembo. Ali Kiba na Jackline Mengi ni miongoni mwa wasanii waliopata shavu la kuwa balozi wa Wildaid , Lengo la Shirika hili kushirikiana na Serikali ni kuongeza ufahamu na kuelimisha jamii kuhusu tatizo sugu la ujangili linaloikabili Tanzania. Kampeni hii inatarajiwa kuongeza mwamko wa Taasisi za kiraia katika kulinda Tembo na wanyama wengine. |
June 19, 2015
ALLY KIBA NA JACKLINE MENGI WALA SHAVU LA KUWA MABALOZI WA WILDAID.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment