
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
ubalozi wa Tanzania nchini India na familia zao jana muda mfupi baada
ya kuzungumza nao katika hoteli ya Taj Mahal Palace jijini New Delhi
India ambapo yuko kwa ziara ya kiserikali.Walioketi mbele kutoka kushoto
ni baadhi ya mawaziri anaofuatana nao katika ziara hii.Wapili kushoto
ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje Mahadhi Juma Maalim, watatu kushoto ni
Waziri wa Maji Prof.Jumanne Maghembe,watatu kulia ni Waziri wa Nchi
ofisi ya Rais Zanzibar Haji Omar Kheri,Wanne kulia ni Waziri wa Viwanda
na Biashara Dr.Abdallah Kigoda, na wapili kulia ni Mbunge wa Nzega Said
Nkumba.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na
wafanyabiashara wa India wenye viwanda ambao wamewekeza nchini Tanzania
muda mfupi baada ya kukutana nao leo.(VICTOR)


No comments:
Post a Comment