MKUTANO MKUU WA MWAKA ECOBANK WANYIKA DAR ES SALAAM
Wanahisa, Bodi ya Wakurugenzi na MenejimentI ya ECOBANK
wakishiriki Mkutano Mkuu wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika katika
Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre jijini Dar es Salaam 19 June
2015.
No comments:
Post a Comment