![]() |
| Mkurugenzi Idara ya Uratibu Shughuli za Serikali, Ofisi ya Waziri Mkuu, Obey Assery akisisitiza jambo wakati akifungua mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mjini Dodoma, tarehe, 19 Juni, 2015. |
![]() |
| Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uratibu Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu, Naima Mrisho akisisitiza jambo wakati akitoa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mjini Dodoma, |
![]() |
| Washiriki wa mafunzo ya menejimenti ya maafa kwa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo na Mkurugenzi Idara ya Uratibu Shughuli za Serikali, Ofisi ya Waziri Mkuu, Obey Assery (mwenye tai nyekundu waliokaa) Mjini Dodoma, |





No comments:
Post a Comment