KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 24, 2015

RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AWATUNUKU NISHANI WATUMISHI WA UMMA WALIOLILETEA SIFA TAIFA

N1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza kwa kuwa mwaminifu na kujitolea moja kwa moja kulipatia Taifa sifa kubwa katika Nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii wakati wa sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ikulu leo Jijini Dar es Salaam.

N2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimvisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Liberata Rutegaruka Mulamula Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza kwa kuwa mwaminifu na kujitolea moja kwa moja kulipatia Taifa sifa kubwa katika Nyanja za kisiasa, kiuchumi, kiulinzi na kijamii wakati wa sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ikulu leo Jijini Dar es Salaam.

N3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimvisha Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Florens Martin Turuka Nishani ya Utumishi mrefu na Maadili mema Daraja la kwanza kwa kuwa mtumishi wa umma kuanzia ngazi ya ukurugenzi na kutumikia Taifa si chini ya ishirini mfululizo na kuonyesha maadili mema wakati wa sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ikulu leo Jijini Dar es Salaam.

N4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akimvisha akimvisha Balozi wa Tanzania nchini Burundi Rajabu Hassan Gamaha Nishani ya Utumishi mrefu na Maadili mema Daraja la kwanza kwa kuwa mtumishi wa umma kuanzia ngazi ya ukurugenzi na kutumikia Taifa si chini ya ishirini mfululizo na kuonyesha maadili mema, wakati wa sherehe zilizofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano Ikulu leo Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment