![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho kikwete akipanda jukwaani tayari
kuhutubia na kuaga rasmi wakati wa
Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika uliofunguliwa Jumapili June 14,
2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa
Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili
June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini
Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Mamia ya wanahabari wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa
Umoja wa Afrika uliofunguliwa Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton
Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa baada ya
kuhutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja
wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika kwenye
Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Rais wa Visiwa vya
Comoro baada ya kuhutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa
Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika
Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini
Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Mama Salma Kikwete akimpongeza mumewe Rais Jakaya Mrisho
Kikwete baada ya kuhutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa
Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika
Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini
Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa AU Rais
Robert Mugabe wa Zimbabwe na rais Yoweri Museveni wa Uganda baada ya
kuhutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa
Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika
Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini
Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wajumbe mbalimbali
baada ya kuhutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa
Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika
Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini
Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu wa Misri
Mhe Ibrahim Mahlab baada ya kuhutubia
na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi
wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja
wa Afrika Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton
Convention mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Somalia Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamoud,
baada ya kuhutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa
Umoja wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika
Jumapili June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini
Johannesburg, Afrika Kusini.
|
![]() | |
|
![]() |
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mfalme Mswati wa Swaziland baada ya
kuhutubia na kuwaaga wakuu wenzake wa nchi wanachama wa Umoja
wa Afrika (AU) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Umoja wa Afrika Jumapili
June 14, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Sandton Convention mjini
Johannesburg, Afrika Kusini.
|

No comments:
Post a Comment