Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake
Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al
Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. [Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Qatar
katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao.
No comments:
Post a Comment