![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwahutubia waumini mbali mbali katika ibada maalum ya kuwekwa wakfu Askofu Kenan Panja. |
![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu mteule wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim Panja zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya. |
![]() |
| Kwaya ya Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo kuu la kusini wakitoa burudani wakati wa sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu Kenan Salim Panja iliyofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya. |
![]() |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Askofu mteule wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim Panja wakati wa sherehe ya kuwekwa wakfu iliyofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya. |






No comments:
Post a Comment