TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Kamati ya Miss Tanzania inapenda
kuwatangazia wadau wote wanaotaka kuandaa Mashindano ya urembo ya Miss
Tanzania kwa mwaka 2016 kutuma maombi yao ya uwakala kuanzia sasa hadi
tarehe 30 Novemba 2015 ndio mwisho wa kupokea maombi ha yo.
Mashindano yatakayo fanyika ni ya mikoa tu, hakutakuwa na mashindano katika ngazi ya kitongoji, wilaya wala Kanda.
Sifa za kuwa Wakala wa Miss Tanzania ni pamoja na
2) Uwe na mtaji wa kutosha.
3) Uwe na uwezo wa kuandaa shindano katika ufanisi mkubwa.
4) Uwe mstari wa mbele katika kukuza sanaa za utamaduni nchini.
Wakala atakaye pitishwa na Kamati
ya Miss Tanzania atapaswa kujisajili Baraza la Sanaa la Taifa.(BASATA)
kabla hajapewa kibali cha kuandaa shindano.
Ada ya Uwakala ni shilingi milioni moja(1,000,000/-).
Maombi yatumwe kwa barue pepe misstanzania2015@yahoo.com
Kwa mawasiliano na ufafanuzi zaidi piga namba zifuatazo:-
Kwa mawasiliano na ufafanuzi zaidi piga namba zifuatazo:-
0673 521037 Katibu wa Kamati
0754 337043 Msemaji wa Kamati
0755 019288 Sekretariet.
Imetolewa na:
JUMA PINTO.
MWENYEKITI
KAMATI YA MISS TANZANIA.
Hi tazama link hii kwa kupata
ReplyDeletemuuonekano fresh na fedha juu
link http://4ui.us/ingiahapa
Hi tazama link hii kwa kupata
ReplyDeletemuuonekano fresh na fedha juu
link http://4ui.us/ingiahapa