Saed
Kubenea, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali Halisi Publishers LTD,
inayochapisha na kusambaza gazeti la MwanaHALISI akionesha Waandishi wa
habari (hawapo pichana) nakala ya gazeti la MwanaHALISI lililotoka leo.
Kwa mujibu wa Meneja Mkuu wa Hali Halisi Publishers (HHPL) inayomiliki
na kuchapisha gazeti hilo, Robert Katula nakala moja ya gazeti itauzwa
kwa Sh. 1,000.
“Tumeamua
kuongeza kidogo bei kwa sababu mbalimbali lakini. Kubwa zaidi ni kupanda
kwa kasi kwa gharama za uchapishaji,” amesema Katula.
|
No comments:
Post a Comment