![]() |
Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.
Kiongozi
huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili jana Jijini Nairobi mwendo wa saa kumi unusu
jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini
uwanja wa ndege.Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru Kenyatta kabla ya kutoa hotuba yake ya kwanza. Akimkaribisha kutoa hotuba, Rais Kenyatta, alieleza umuhimu wa ziara ya kiongozi huyo wa kidini, akimkumbusha kwamba kesho ni siku ya mapumziko na siku ya kitaifa ya maombi Kenya |
November 26, 2015
PAPA FRANCIS ALIVYOWASILI NAIROBI JANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment