KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

January 7, 2016

BANK M TANZANIA YAFUNGA MWAKA 2015 KWA MAFANIKIO MAKUBWA

OfisaMtendaji Mkuu Biashara wa Benki M Tanzania, Jacqueline Woiso akifafanua jambo wakati wa mkutano
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akitoa ripoti ya fedha ya
2015.
Picha na Philemon Solomon-Fullshangweblog.
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wakutoa ripoti yarobo ya tatu ya  mwaka 2015 Mkurugenzi Mkuu wa Bank M, Jacqueline
Woiso alisema wamefanikiwa kutoa mikopo katika sekta mbalimbali.
Alisema wametoa mikopo kwenye sekta ya viwanda na uzalishaji,biashara, ujenzi, mawasiliano
pamoja na kilimo kwani  wametambua umuhimu wa sekta hizo.

 Owiso alisema faida kwa bank hiyo imeomgezeka kufikia sh 23.66 Bill mwisho wa mwezi desemba 2015 ikilinganishwa na 17.89 bill
za mwaka 2014.
Alisema wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwa na wafanyazi asilimia hamisi  kwa hamsini kati ya wanawake na wanaume.
Hata hivyo alisema rasilimali za bank hiyo zimeongezeka sh 689.35 bill kwa mwaka 2014 na
kufikia sh 861.94 bill mwishoni mwa mwaka jana .

No comments:

Post a Comment