Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (kushoto) akitoa ushauri kwa Mkandarasi wa Kampuni ya
NOWE INVESTMENT CO.LTD inayojenga Machinjio ya Ngo’mbe Elimeka
Shumu(wa tatu kulia) wakati alipotembelea machinjio hayo leo Wesha
Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra shamra
za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud
Mohammed,
[Picha zote na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa
Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD Elimeka Shumu (kushoto) inayofanyia
matengenezo Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake wakati
alipotembelea maendeleo ya ujenzi huo leo Wilaya ya Chakechake Mkoa
wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba
Mwanajuma Majid(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed(wa pili kulia) na Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Joseph Meza
wakielekea kutembelea Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake
inayofanyia matengenezo Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD ya Dar es
Salaam,ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment