Bondia THomasi Mashali kushoto akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na muirani Sajjad Mehrabi utakaofanyika Mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia THomasi Mashali katikati akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na muirani Sajjad Mehrabi utakaofanyika Mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa kushoto ni bondia Fransic Miyeyusho Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Ramadhani Shauli kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga Mei 14 na bondia Salim Salim kutok Malawi katikati ni
katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta na kocha wa bondia huyo Cristopher Mzazi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia
Ramadhani Shauli akisani mkataba wa kuzipiga na Salim Salim kutoka
Malawi Mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kulia ni kocha wa bondia
huyo Cristopher Mzazi Picha na SUPER D BOXING NEWS |
No comments:
Post a Comment