MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA SHERIA NA KATIBA LEO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Sheria na Katiba Ndugu Amon
Mpanju wakati Naibu Mpanjo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu
Dar es salaam leo March 31, 2016.(Picha na OMR)
No comments:
Post a Comment