Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Lugimbana akizungumza na Jumuiya ya
Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM -UDOMASA), wakati wa mdahalo
wa miaka 52 ya Muungano uliofanyika katika Ukumbi wa Chimwaga uliopo
UDOM leo. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Professa Idrissa Kikula.
Mwenyekiti
wa Jmuiya ya Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA), Mhadhiri
Msaidizi, Edson Baradyana akitoa shukurani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Jordan Lukimbana kwa kukubali kufungua kongamano hilo.
Baadhi ya wanachuo na wanataaluma wakishiriki kwenye kongamano hilo la miaka 52 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
No comments:
Post a Comment