KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 24, 2016

RAIS DK.SHEIN AKUTANA UONGOZI WA KAMPUNI YA MILLICOM

mil1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo (kushoto) Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel  ,[Pivha na Ikulu.]23/08/2016.
mil2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo jana,[Pivha na Ikulu.]23/08/2016.
mil3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi Rachel Samren Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Zanztel (katikati) Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”(wa pili kulia) na (kushoto) Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel  ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo na Rais,[Pivha na Ikulu.]23/08/2016.

No comments:

Post a Comment