KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

October 1, 2016

KATIBU MKUU WA CCM, KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

kinan
KatIbu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD, Evariste Ndayishimiye, leo Oktoba 1, 2016, katika Ofis Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuwa na mazungumzo baina ya viongozi hao kuhusu uhusiano wa vyama hivyo ya CCM na CNDD-FDD. Kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa CNDD-FDD, Gelase Ndabirabe.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mnadhimu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD,  Gerase Ndabirabe. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Burundi nchini, Prefere Ndayishimiye
 Katibu  Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Kaimu Balozi wa Burundi hapa nchini Prefere Ndayishimiye  alipokuwa akiupokea ugeni huo wa Katibu Mkuu wa CNDD-FDD
 Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka akisalimiana na Katibu Mkuu wa chama cha CNDD-FDD cha Burundi Evariste Ndayishimiye ugeni wa Katibu mkuu huyo ulipowasili leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. Wapili kulia ni Balozi David Kapya. 
 Kataibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpeleka Ofisini kwake, Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FD cha Burundi baada ya kuwasili kwa ajili ya mazungumzo. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka

No comments:

Post a Comment