MAHADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE
Katibu Mkuu Wizara ya Afya ,Maendeleo ya
Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Sihaba Nkinga akihutubia katika Kongamano
la Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike liliofanyika katika Shule ya
Sekondari ya Mwendakulima Wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
No comments:
Post a Comment