
Mkuu wa Mkoa wa Arusha (mbele
kulia) akikagua ujenzi wa barabara ya Friends corner –Muriet inayojengwa
kwa kiwango cha Lami kupitia mradi wa Mpango Mji Mkakati (TSCP)
unaotekelezwa na Tamisemi. Barabara hiyo itajengwa kwa urefu wa Km 6.5

Kupitia Ziara hiyo pia Mkuu wa
Mkoa wa Arusha alisikiliza kero za wananchi wa eneo la soko Mjinga Kata
ya Sokoni 1 ambapo kero kubwa ilikuwa ni kufungwa kwa barabara kutokana
na ujenzi holela

Kutoka Kulia ni Mhandishi wa
Ujenzi Jiji Eng. Gaston Gasana akifuatiwa na Mhandisi Mshauri wa Mradi
wakielezea kazi zitakazofanyika katika Mradi huu.


No comments:
Post a Comment