Naibu Waziri wa Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo Mhe. Chum Kombo Khamis akifungua pazia
kuashiria ufunguzi wa Makumbusho ya watu wa zamani yaliopo Kuumbi Jambiani, Mkoa Kusini Unguja.

Baadhi ya wananchi na wafanyakazi wa Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale walioshiriki
ufunguzi wa Makumbusho ya Watu wa zamani Kuumbi wakifuatilia sherehe hizo.

Mtafiti wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Professa Felix Chami kwanza (kulia) akitoa maelezo
juu ya utafiti uliofanywa na kupelekea kuanzishwa kwa makumbusho ya Kuumbi Jambiani.

No comments:
Post a Comment