
Mfanyabiashara
wa kampuni ya Stewart Jacob Ulomi, Grace Ulomi akiwapungia mkono
wafanyabiashara wenzake waliokuwa wakiwani gari lenye thamani ya Sh56
milioni katika mchezo wa bahati nasibu uliochezeshwa na kampuni ya
Konyagi, baada ya kuibuka kidedea na kunyakua gari hilo. Mchezo huo
uliwashirikisha wafanyabiashara wa Konyagi wapato 25 kutoka mikoa ya
Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Pwani, lilifanyikia Jijini Mbeya.

Kaimu
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Konyagi, Devis Deogratius (wa pili kutoka
kulia) akimpongeza mfanyabiashara wa kampuni ya Stewart Jacob Ulomi,
Grace Ulomi baada ya kuibuka mshindi wa gari lenye thamani ya Sh56 milioni kutoka kampuni ya hiyo katika mchezo wa bahati nasibu uliochezeshwa na kampuni hiyo.

Mshindi akifungua mlango wa gari baada ya kukabidhiwa huku akishuhudiwa na maofisa wa TDL

Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Konyagi, Devis Deogratius (wa pili kutoka kulia) akikabidhi katoni ya Konyagi mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya mchezo wa bahati nasibu uliochezeshwa na kampuni hiyo


No comments:
Post a Comment