
Rais
wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Deo Nsokolo,
akifungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari
nchini UTPC unaofanyika Jijini Mwanza kwa siku mbili, kuanzia leo Oktoba
06,2016.
Mkutano huo unajadili masuala mbalimbali ikiwemo Mpango Mkakati wa UTPC kwa mwaka 2016/20 uliofadhiriwa na Shirika la Sida.
Na BMG
Viongozi
wa UTPC wakiwa kwenye mkutano huo ambapo kutoka kulia ni Mkurugenzi wa
UTPC, Abubakar Karsan, Rais wa UTPC, Deo Nsokolo, Makamu wa Rais wa
UTPC, Jane Mihanji na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili UTPC
Wajumbe wa bodi, UTPC, wakiwa kwenye mkutano huo
Mwenyekiti
wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kulia) akiwa na wajumbe wengine
kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa
Habari nchini UTPC


No comments:
Post a Comment