![]()
Mwanasheria wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC),Bi. Fausta Mahenge akitoa elimu ya mpiga kura kuhusu
masuala mbalimbali ya kisheria yanayosimamia chaguzi za Tanzania kwa
wanafunzi 743 wa Shule ya Sekondari Kidinda wilayani Bariadi mkoani
Simiyu.
![]()
Afisa Uchaguzi wa NEC Bw. Stephen
Elisante akiwaonyesha wanafunzi wa shule ya Sekondari Kidinda fomu
maalumu zinazotumika kujaza matokeo ya uchaguzi katika vituo vya kupigia
kura wakati akitoa elimu ya Mpiga Kurra kwa wanafunzi wa shule hiyo,
Bariadi mkoani Simiyu.
![]()
Afisa Uchaguzi wa NEC Bw. Stephen
Elisante akisisitiza jambo kwa wanafunzi wa shule ya Sekondari Kidinda
wakati akitoa elimu ya Mpiga Kurra kwa wanafunzi wa shule hiyo, Bariadi
mkoani Simiyu.
![]()
Makamu Mkuu wa Shule ya Sekondari
Kidinda Mwalimu Paul Susu akizungumza na wanafunzi wa shule hiyo mara
baada ya kuwakaribisha Maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi waliofika
shuleni hapo kutoa Elimu ya Mpiga Kura kwa wanafunzi wapatao 743 wa
shule hiyo.
|
October 12, 2016
WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI WATAKIWA KUWA MABALOZI WA ELIMU YA MPIGA KURA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment