Mkurugenzi Idara ya Kuratibu
Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akiongea na
Wataalamu wa majengo kutoka Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT),
(hawapo pichani) ambao wapo mkoani Kagera kufanya utafiti wa uharibifu
wa majengo uliosababishwa na tetemeko la ardhi ili kujua hali
halisiilivyo hadi sasa.
Mkurugenzi Idara ya Kuratibu
Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akiongea na
Wataalamu wa majengo kutoka Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT)
wakiongozwa na Mhandisi Dkt. Johnson Malisa (wa kwanza kulia) ambao wapo
mkoani Kagera kufanya utafiti wa uharibifu wa majengo uliosababishwa na
tetemeko la ardhi ili kujua hali halisiilivyo hadi sasa. Wa kwanza
kushoto ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Nesphory Bwana
akifuatiwa na Dkt. Asinta Manyele na Mhandisi Dkt. Johnson Malisa wa DIT
No comments:
Post a Comment