![]() |
| Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akiongea na baadhi ya Wanakamati ya Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu wakati alipotembelea ofisi za idara hiyo leo mjini Bukoba. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya |
![]() |
| Mkurugenzi Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Brigedia Jenerali Mbazi Msuya akifafanua jambo kwa Waziri Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles (kushoto) wakati alipomtembelea ofisini kwake leo mjini Bukoba alipokwenda kujionea hali ya urejeshwaji wa miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko la ardhi. |
![]() |
| Waziri
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akisaini
kitabu cha wageni ofisi ya Idara ya Kuratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu
wakati alipotembelea ofisi za idara hiyo leo mjini Bukoba alipokwenda
kujionea hali ya urejeshwaji wa miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko la
ardhi.
(Picha na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Bukoba)
|





No comments:
Post a Comment