KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org

TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 8, 2017

MKUTANO MKUBWA WA KIUCHUMI NA MAOMBI YA KITAIFA WAFANYIKA DAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,  Dk. Augustine Mahiga (kushoto), akisalimiana na Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk. Alex Malasusa wakati wa Mkutano Mkubwa wa Kiuchumi na Maombi ya Kitaifa 2017 jijini Dar es Salaam jana ulioandaliwa na Taasisi ya Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT). Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT), Ibrahim Kaduma.  

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,  Dk. Augustine Mahiga (kushoto), akiagana na Mchungaji Vernon Fernandes wa kanisa la Agape baada ya mkutano wa Maombi ya Kitaifa 2017 jijini Dar es Salaam jana ulioandaliwa na Taasisi ya Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT). Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT), Ibrahim Kaduma.
Baadhi ya washiriki wakifanya maombi kuombea ustawi wa  taifa la Tanzania, mheshimiwa rais pamoja na viongozi wengine ili waweze kuongoza kwa uadilifu na hofu ya Mungu.

Mchungaji maarufu nchini Marekani, mfanyabiashara na mwanzilishi wa huduma ya Bill Winston, Dk. Bill Winston (kushoto), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kingdom Leadership Network Tanzania (KLNT), Ibrahim Kaduma, wakati wa Mkutano Mkubwa wa Kiuchumi na Maombi ya Kitaifa 2017 jijini Dar es Salaam jana ulioandaliwa na KLNT. Katikati  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,  Dk. Augustine Mahiga.

No comments:

Post a Comment