KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 23, 2017

WAZIRI MWIGULU AIONGOZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE YA ULINZI NA USALAMA KUKAGUA MRADI WA UJENZI KITUO CHA POLISI OYSTERBAY

LUKLO 1
Mtaalamu wa Majengo kutoka kampuni inayojenga Kituo cha Polisi Oysterbay, Mhandisi Fanuel Malekela, akitoa maelezo ya mchoro wa ujenzi wa kituo hicho kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Ulinzi naUsalama, Balozi Adadi Rajabu (wa pili kushoto),wakati kamati hiyo ilipotembelea ujenzi wa mradi huo.Wengineni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba (watatukushoto) na Mkuu wa Jeshi la Polisi,IGP Ernest Mangu.Ziara hiyo imefanyika leo jijini Dar esSalaam.
LUKLO 2
Kamishna wa Fedha wa Jeshi la Polisi,Albert Nyamhanga, akitoa maelezo ya mradi wa Ujenzi wa kituo cha Polisi,Oysterbay kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Ulinzi na Usalama, Balozi Adadi Rajabu (watatu kulia), wa pili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba.
LUKLO 4
Waziri wa Mambo yaNdaniyaNchi,MwiguluNchemba(kulia), akiwaongozakutokandaniyajengowajumbewaKamatiyaKudumuya Bunge ya Mambo yaNjeyaUlinzinaUsalamabaadayakumalizakutembeleanakukaguamaendeleoyamradiwaUjenziwakituo cha polisi,Oysterbayleojijini Dar esSalaam.Hukusehemukubwayamradihuoikiwaimekamilika. PichanaWizaraya Mambo yaNdaniyaNchi.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment