KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 22, 2017

'KITOWEWO PENDWA NCHINI MALAWI'

Mchuuzi awauzia wapita njia na wenye magari panya waliochomwa eneo la Salima, malawi siku ya jumatatu. Panya waliochomwa wanapendwa sana na watu nchini Malawi na biashara yake imenoga sana hasa vijijini.
Mchuuzi akiwauzia wapita njia na wenye magari panya waliochomwa eneo la Salima, Malawi, siku ya Jumatatu. Panya waliochomwa wanapendwa sana na watu nchini Malawi na biashara yake hunoga sana hasa vijijini.

No comments:

Post a Comment