KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 21, 2017

MARAIS JPM NA M 7 WASAINI UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA


Rais John Magufuli na Rais Yoweri Museveni wamesaini mkataba wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Ohima, Uganda hadi Tanga.
 
Akizungumza leo Ikulu wakati wa utiaji saini mkataba huo, Magufuli amesema walikuwepo matapeli wengi wakati wa mchakato wa ujenzi wa bomba hilo na kuwa anafurahia zaidi kuingia mkataba huo na Uganda.
 
“Nina furaha sana, najua Museveni anaijua Tanzania, anajua vichochoro vyote vya Ikulu na yeye ni zao la Mwalimu Nyerere,” amesema

No comments:

Post a Comment