
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma alipowasili katika
viwanja vya Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini
Unguja jana katika hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika
Skuli za Serikali za Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
(katikati) wakifuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) walipokuwa wakiingia katika Ukumbi wa
zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja Mjini Unguja jana katika
hafla ya uchangiaji wa Vifaa vya michezo katika Skuli za Serikali za
Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 20/05/2017.



No comments:
Post a Comment