KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 20, 2017

VODACOM YASAINI MKATABA WA KUPELEKA MAWASILIANO VIJINI

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa(katikati)akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw.Ian Ferrao, wakibadilishana hati baada ya kusaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam juzi

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mnyaa Mbarawa(katikati)akiwashuhudia Afisa Mtendaji Mkuu (CEO), wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mhandisi. Peter Ulanga, (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Bw.Ian Ferrao, wakisaini mkataba utakaowezesha kusambaza Mawasiliano kwa wote hususani vijijini. UCSAF imesaini makubaliano na makampuni yote ya simu nchini kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Mfuko huo jijini Dar es Salaam juzi


No comments:

Post a Comment