UTT AMIS YATOA SOMO LA UWEKEZAJI KWA WASTAAFU WATARAJIWA WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU MOROGORO
Afisa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS Plc Bi Martha Mashiku akitoa elimu
ya uwekezaji wa pamoja kwa wastaafu watarajiwa wa Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania katika ukumbi wa mkutano wa hoteli ya Kings Way Morogoro
Baadhi ya Wastaafu watarajiwa wa Wakala wa Huduma za
Misitu Tanzania katika ukumbi wa mkutano wa hoteli ya Kings Way Morogoro
No comments:
Post a Comment